J A M B O
Jambo, Jambo bwana, (Hello..Hello
Mister)
Habari gani, (How are you?)
Mzuri sana. (Very fine)
Wageni, Wakaribishwa, (Visitors..You
are welcome)
Kenya yetu Hakuna Matata. (Our
Kenya has no problems)
Kenya nchi nzuri,
Hakuna Matata.
Nchi ya maajabu
Hakuna Matata.
Nchi yenye amani,
Hakuna Matata.
Hakuna Matata,
Hakuna Matata.
Watu wote,
Hakuna Matata,
Wakaribishwa,
Hakuna Matata.
Hakuna Matata,
Hakuna Matata. (till end)
![](Kenya-98.GIF)
Home | Pictures
| Recipes | Links